Taasisi ya HAKIARDHI inasikitika kutangaza kifo cha mwanachama wake Ndugu Emilian Jaka kilichotokea tarehe 4-10-2022 mjini Morogoro.