Skip to main content
x
LARRI

Kongamano la waangalizi wahaki za ardhi vijijini

Tarehe 14 Oktoba 2023, Taasisi ya Hakiardhi ilishirikiana na waangalizi wa haki za ardhi vijijini kuadhimisha Siku ya Mwanamke wa Kijijini duniani. Maadhimisho hayo yalifanyika Kijiji cha Msowero, Kata ya Msowero wilayani Kilosa ambapo waangalizi wapatao 122 (Me - 67, Ke - 55) walishirii pamoja na wenyeji wa pale. Mkurugenzi Mtendaji, Bw. Cathbert Tomitho, alianzisha hafla hiyo kwa kutoa hotuba ya kuwakaribisha washiriki wote, na kutoa hongera za dhati kwa waangalizi waliokuja kutoka maeneo ya mbali, kwa kujitolea gharama zao wenyewe.

Document
Magazine.pdf (4.14 MB)