Skip to main content
x
LARRI

Kongamano la waangalizi haki za ardhi vijijini - gwata ujembe

Waangalizi wa haki za ardhi vijijini walifanya kongamano la kuadhimisha sikukuu ya wakulima nchini katika kijiji cha Gwata Ujembe wilaya ya Morogoro kusini mkoani Morogoro. Kongamano hilo lilikua na mada mbalimbali zikiwemo, migogoro ya ardhi na upatikanaji wa chakula vijijini, athari za mabadiliko ya tabianchi katika mifumo endelevu ya chakula, ulinzi wa haki za ardhi za wanawake ni msingi imara wa mifumo endelevu wa chakula, utunzaji wa mazingira kwa uzalishaji wenye tija na mikopo ya kausha damu inavyo wadidimiza wakulima wadogo vijijini. Yafuatayo ni masuala yalioibuka katika uwasilishwaji wa mada hizi.

Document
magazine.pdf (7.96 MB)